B Dozen amjibu Majizzo, Maulid Kitenge apigilia Msumari

Ni Mkurugenzi wa Radio Efm & TV E Majizzo ambae lApril 23, 2023 ameweka wazi juu ya kundoka kwa watangazaji akiwemo B Dozen, Oscar Oscar, Maulid Kitenge na Hando. Sasa leo nimekusogezea hii taarifa ufahamu alichokiandika Bo Dozen na wengine kwa Majizzo.

Post a Comment

0 Comments