Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

Aliyekuwa meneja wa msanii Aslay, Chambuso amefunguka kwa mara ya kwanza sababu za kuacha kufanya kazi na msanii Aslay ambaye amedumu kwenye muziki wa Bongofleva kwa miaka 10 mpaka sasa. Chambuso anasema muziki wa Aslay amenufaika nao kwani ameweza kujenga na kumiliki gari aina ya IST new model kupitia fedha alizozipata na Aslay ambaye kwa hivi Sasa anamiliki nyumba mbili na magari mawili…

Post a Comment

0 Comments