Chadema yampa tuzo Dkt. Samia

Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) wamempa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan tuzo maalum ya kumpongeza kwa maridhiano ya kuboresha na kuimarisha demokrasia nchini yenye amani upendo na mshikamano. Rais Samia amekabidhiwa Tuzo hiyo na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kwa niaba ya BAWACHA Mjini Moshi leo wakati wa Kongamano la Siku ya Wanawake lililoandaliwa na BAWACHA. #CleverApdate

Post a Comment

0 Comments