Kocha Yanga Abeba mwili wa mtoto mchanga aliefariki.

Kocha wa Yanga, Nasredine Nabi akiwa ameubeba mwili wa mtoto wa Kiungo Salum Abubakar Sure Boy aitwaye Feisal Salum Abubakar kuelekea kwenye nyumba yake ya milele maeneo ya Magomeni Mapipa, mtoto huyo amefariki akiwa na miezi mitatu tu. Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un

Post a Comment

0 Comments