PICHA: Wenye Nchi Beach Party ilivyofanyika Coco Beach

Simba SC leo wamekutana Coco Beach kwenye lile tukio walilolipa jina la Wenye Nchi Beach Party ikiwa na lengo la kuhamasisha mashabiki wa Simba SC kujitokeza kwa wingi kwa Mkapa siku ya March 7 2023 kwenye mchezo wa Club Bingwa Afrika dhidi ya Vipers SC ya Uganda.

Post a Comment

0 Comments