Raja Casablanca yatinga robo final ya klabu bingwa Afrika

RAJA HIYOO ROBO FAINALI Ushindi wa Raja Casablanca ugenini umeifanya kufikisha alama 12 ambazo zimetosha kuipeleka Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa bado na mechi mbili (2) mkononi. FT| HOROYA AC 1-3 Raja Casablanca

Post a Comment

0 Comments